Related News

7 Comments

 1. Fred Amos Juma
  Aug 03, 2016 at 12:32 PM

  Natamani kuujua zaidi mfuko huu.

  • Aug 19, 2016 at 10:43 AM

   Asante Ndugu Fred,
   Taasisi ya Mwalimu Nyerere ni taasisi ya kiraia isiyofungamana na chama cha siasa wala serikali, na inajishughulisha na amani, umoja na maendeleo ya watu. Kazi yeke nyingine kubwa ni kuwa sehemu ya kukuza na kuendeleza mawazo ya Mwalimu Nyerere, kuhusu Amani, Umoja na Maendeleo ya Watu.

 2. Jan 30, 2017 at 9:04 AM

  I must say you have very interesting content here. Your website can go viral.
  You need initial traffic only. How to get it?

  Search for: Etorofer’s strategies

 3. domisian ignas musiba
  Mar 31, 2017 at 9:21 AM

  naweza kufahamu mafanikio na changamoto za taasisi hii

  • Apr 10, 2017 at 4:44 AM

   Asante kwa kuonyesha nia na Taasisi ya Mwalimu Nyerere. Juu ya changamoto na mafanikio. Nikuombe uendelee kutembelea tovuti yetu ambapo mara kwa mara tunaweka taarifa za utekelezaji na changamoto tunazokutana nazo. Kwa sasa unaweza kutembelea ofisi zetu zilizoko mtaa wa India/Bridge Posta Mpya Dar es Salaam.
   Karibu sana.

 4. Elineema Bariki Mchome
  Apr 07, 2017 at 6:22 AM

  Nimefurahia jinsi watu humu wanavyofafanua mambo mengi kuhusiana na Baba wa taiga Mwl. Nyerere. Ni kweli kuwa mwalimu aliweka misingi mizuri hasa kwa taiga la Tanzania na si hivyo tu aliamini binadamu wote ni sawa bila ya kuangalia rangi, kabila, dini au taifa lake analoishi hii ni kauli ya kudhihirisha kuwa Mwalimu alipenda kujenga umoja na mshikamano lakini pia alipenda Amani, Upendo na kuvumiliana…tukiishi katika misingi hii ya baba wa Taifa nadhani tutafika mbali na kujiona binadamu wote ni sawa na tutaweza kuwasaidia ndugu zetu ambao wanaishi kama wanyama hawana furaha na maisha hawana chakula, pakulala hata nguo za kuvaa kwao ni shida

  • Apr 10, 2017 at 4:41 AM

   Ndugu Elineema Bariki Mchome;
   Tunashukuru kwa mchango wako, na utayari wako kuhimiza na kueneza misingi na imani ya Mwalimu Nyerere juu ya watu, na taifa kwa ujumla.

Join the discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *